News Detail

22 Aug Jinsi ya kusafisha uso wako

Jinsi ya kusafisha uso wako

Uoshaji wa uso ni kitu muhimu sana na hakijalishi wewe ni mwanaume, mwanamke, mzee, kijana unachotakiwa ni kusafisha vizuri.


Katika utunzaji wa ngozi yako na pia usoshaji wa uso unasaidi a kuondoa uchafu, vumbi, old surface cell, make -up na bacteria n akuacha vijitundu kwenye ngozi yako wazi ili kuweza kupumua vizuri.
Hakikisha unasafisha uso wako mara mbili kwa siku na haijalishi ngozi yako ni ya aina gani na kama unatumia sponge au kitambaa hakikisha ni visafi na unapoosha uso wako sugua taratibu.
Tumia maji ya bomba kusafishia uso wako usutumie maji ya moto kwani husababisha ngozi kukauka na kuharibu ngozi hivyo tumia maji ya uvuguvugu.
Pia wa weza kutumia cleanser kuoshea uso wako hakikisha cleanser unayotumia inaendana na ngozi yako then steam uso wako ili uweze kufungua pores unachotakiwa ni kuweka uso wako karibu na maji yaliyochemka kwa dakika 5-10 au unaweza tumbukiza taulo kwenye maji ya moto na kufuta uso wako kwa mara kadhaa.
 

Osha uso wako na kaikisha hakuna uchafu unaobakia kwenye ngozi wako na kausha uso wako kwa taulo laini na unatakiwa kupaka moisterizer ambayo itasaidia ngozi wako kuwa laini na unapochagua moisturizer tumia zenye Aloe Vera au Vitamin E.


Pia unaweza kutumia scrub kwa ajili ya kuondoa uchafu kwenye uso wako hakikisha unapotumia hii scrub uso wako uwe na maji then chukua kiasi cha scrub paka kweney uso then massage uso wako taratibu kwa kutumia vidole vyako kaa nayo kwa muda wa dakika 10-15 ndipo uoshe kwa maji ya uvuguvugu then paka lotion yako au cream.

Mtu akijua ngozi ya uso wake ni ya aina gani,atakuwa ktk gud position ya kuwa mrembo zaidi. urembo natural unadumu, sio wa gharama.

 

MAONI NA USHAURI; 0654700661

 

 

TUNAFANYA MAKEUP ZA KISASA ZAIDI, PIA TUNAPAMBA MAHARUSI,TUNAPAMBA KUMBI MBALIMBALI KWA AJILI YA SHEREHE NA SHUGHULI NYINGINE MBALIMBALI.

>>>>